kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,729
- 14,159
Imegeuka kuwa TV ya taifa. Nilikuwa mwanza kwa siku 10, nilikuwa nahama hotel na bar kila siku, kila ikifika saa 2 usiku wateja wote wanaomba wawekewe taarifa ya habari ya ITV sio tv nyingine yoyote ile. Nikahamia Ukerewe mambo ni hayohayo. Mawazo yangu nilidhani Mwanza wanaangalia zaidi tv za kwao kumbe sivyo. Big up ITV.