mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Katika pitapita na kuchangamana na watanganyika, utafiti uchwara (usio rasmi), haya ndio Makabila au Jamii za watu wenye misimamo na wanaojiamini....
Katika biashara zao, kudai haki, kusimamia wanachokiamini, kujitetea, kupambana katika harakati mbalimbali za kimaisha....
1. Wajaluo
2. Wachaga
3. Waarusha/Wairaq/Wamasai
4. Wajita
5. Wakurya kwa aina zao
6. Wahaya niliwasahau nao wako vizuri
7. Ntuzu anachomoka katk ya msitu wa Wasukuma na kujitenga nao kisha kujichukulia namba saba
Hatuwezi kukwepa kuzungumzia Makabila yetu maana yapo na kuzungumzia sio ukabila Bali ni kuongeza utambuzi ktk kuchangamana kwetu kwenye mambo mbalimbali ya kijamii.