cansir
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 303
- 310
Habari wakuu,
Limenijia wazo kwanini JamiiForums wasiende Dar stock exchange?!
Sio kwasababu hawana fedha za kujiendesha? No! Bali nikutupa nafasi wapenzi wa JF kumuliki na kuwa part of legacy coz it will prevail to be the number one forum in southern Africa (and Africa)
I believe it can be done.
And this is how I envision the journey....
1. Tunaweka mjadala hapa jukwaani tuna brainstorm the idea
2. Legal issues zinukua settled to protect interests za both parties (founders and stakeholders)
3. Tunaenda sokoni kazi inaanza
- tunanunua mtaji unaongezeka mnajitanua coverage tuanzia Uganda na Rwanda ku exploit advantage ya kiswahili and so forth..