Fundi wa fundi
Senior Member
- Apr 18, 2017
- 117
- 53
Kutokana Na serikali kutokutoa majibu juu ya ajali Ile watanzania tunayapi ya kuieleza serikali kama wananchi
Hivi lema nay.e aliyeongelea hamjasikia tena baada ya kkukamatwa meya na maskofu au ni lazima anayeongea lazima avae kijani au njanoTatizo wanaharakati wa Tanzania ni wanaharakati wa siasa tu mambo muhimu kama haya haakuna anauejigusa ila akitokea msanii watajitokeza wote kuongea hata yasiyo ya msingi
Serikali haina pesa ndio maana inchukua mpaka hela ya rambirambi .za nina zitatoka wapiSijawahi kusikia mwanasheria wa kujitegemea aliyejitokeza kusomama upande wa wafiwa ili walipwe fidia zao kutokana Na Sheria zetu za bima Ile gari inalipiwa 25000 kwa kichwa kinachoingia ndani ya gari kila mwezi je inabeba wanafunzi wangapi kwa mwezi ? Je wafiwa wamelipea stability zao za bima kutokana na ajali hii