Gilbert Phillip Kutta
Hakuna upumbavu kama unapokuwa mwajiri akawa unamlipa mfanyakazi wako kwa jina lisolokuwa la kwake ukaanza kujiona ulikuwa na akili na haki ya kufanya hivyo ila yeye alikuwa na makosa. Aidha baada ya kuhakikisha umeondoa watumishi hewa itawezekanaje ukawa bado na mganyakazi Drodstus na kwenye payroll unamlipa Mpakanjia?
Mathayo Sanga>>> Pole Mwalimu Kutta, yamkini hata CHADEMA wenyewe hawakujui kuwa wewe ni moja ya watu wanaoweza kudhalilisha Chama chao kwa jinsi unavyotoa comment ambazo wala hata hazina maana yoyote zaidi ya wewe mwenyewe kuichukia CCM kwa mgongo wa CHADEMA. Hasira yako itazidi sana utakapoona CCM wanapata dhamana ya kuongoza tena 2020. Ushauri wangu kwako, tumia muda wako mwingi kutoa comments za mambo mengine ya kijamii siyo lazoma kila siku ni Siasa tu! Kumbuka kuna watanzania wengi hawajui lolote kuhusu vyama lakini wanasonga mbele. Ukiweza toa comments za kisayansi maana nakujua wewe ni Mwalimu mzuri sana wa Chemistry. Ulinifundisha vizuri sana, na ninaamini mpaka Leo uko vizuri, ila siasa umeacha njia............
Gilbert Phillip Kutta>>> Nahisi unajibwabwaja humu upate kujulikana na unaowafagilia ukidhani utajulikana huko kumbe huna tofauti na nepi!!....Hapo juu kwa utindio wa akili yako kuna neno CHADEMA au CCM?? Usikurupukie mada na kujifanya mjuaji bila hoja za msingi ndugu!...Huna Ushauri wa maana kwangu kuliko kwa watoto wako unaotakiwa kuwalea!!,,,,Na nakushauri tu ni vema ukaimbe taarabu kuliko kutoa ushauri kwa watu usio na caliber wala weledi wa kuwashauri in public!
Furaha Masatu >>>Mathayo, ninakushauri ya mwalimu yaache. Alitangulia kwa ngariba kabla yetu. Mwanafunzi hamzidi mwalimu wake hata kama.... We fanya yako tu, mpendwa.