teledam
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 927
- 1,239
Habari zenu wapendwa,
Kama nilivyoandika hapo juu hii barabara ina mashimo ya kutosha. Napata shaka kwa wasafiri wa usiku wa Mbagala Ikwiriri najua watakua mashahidi aisee hii njia ni mbaya sana. Ina mashimo kibao, ndiyo kusema hamuoni ama mmeamua tu kupiga kimya.
Tutapoteza wenzetu halafu kwa kwa kamba hii hii tutarudi kucomment rip wakati tatizo lipo bayana. Binafsi nilipita jana hii bara bara sikufurahishwa kamwe na muonekano wa barabara hii pengine kama siyo uweledi wa madreva tunesahau kabisa uhai wetu. Napenda kuwakumbusha serikali na usalama barabarani kukumbuka kuhusu hili.