Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,266
"Niliahidi nimetekeleza, gari jipya la wagonjwa kwa Tarafa ya Nyangamara Jimboni Mtama". ameandika Nape katika ukurasa wake wa Twitter.
Hongera nape nawashauri kina mnyika na kubenea wafate nyendo zako ubungo na kibamba hali ni mbaya.Kwako Mh. Nape lwanza nikupongeze kwa kutimiza ahadi hii ya gari la wagonjwa ambalo uliahidi trh 12/10/2015.
Ila tambua bado una kazi kubwa ya kuwaunganisha wapiga kura ambao kwa kuna nyufa kubwa sana ya kutoshirikiana katika masuala ya kijamii kama vile kwenye misiba, sherehe na hata shughuli za kimaendeleo na hayo yote yamechangiwa na SIASAView attachment 512439
Ndo kitu Pelee wanachohitaji watu wa mtamaNILIAHIDI NA NIMETEKELEZA!!
MBUNGE WA JIMBO LA MTAMA
MH.NAPE MOSES NNAUYE,ATIMIZA
AHADI YAKE YA GARI LA KUBEBEA
WAGONJWA(AMBULANCE) ALIOITOA KWENYE KAMPENI ZAKE ZA MWAKA
2015 ALIPOKUWA ANAOMBA RIDHAA YA KUWAONGOZA WANANCHI WA JIMBO LA MTAMA TARAFA YA NYANGAMARA.
HONGERA SANA MH.KWA KUTEKELEZA MOJA YA AHADI ZAKO.