Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani waku za asubuhi, samahani kama nitawakwanza, Ila nimeota ndoto Maji yanakuja kwa kasi nchi kazi na kukukimbia Sanaa ila mwisho ya siku hayakunidhuru niliweza yashinda, JE NDOTO HII...
0 Reactions
6 Replies
951 Views
Chama cha wachapishaji binafsi nchini Tanzania (PATA) kimeiomba Serikali kuviondoa mara moja shuleni vitabu vyote vilivyoandaliwa na kuchapishwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) mara baada ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwanza nitoe pole nyingi sana kwa ndugu jamaa na marafiki wa mzee Ngosha. Mzee amemaliza safari yake kwa amani kwa kutimiza ndoto na dhamira yake ya muda mrefu ya kumkabidhi mkuu wa nchi picha...
8 Reactions
43 Replies
8K Views
Kwanza kabisa niseme huwa sinaga chama, Kila ninaechat au kuzungumza naye analalamika hali kuwa ngumu Nawaonea huruma vijana wenzangu.ambao wamesoma wanazo degree zao wapo tu nyumbani kila siku...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Wasalaam Wakuu. Imeandikwa Katika Vitabu Vitakatifu kuwa Usiseme Uongo. Usimdanganye jirani yako. Uongo usemwe pale tu patakapokua kwa ajili ya Kuokoa Maisha. Lakini jamii sasa imebadilika, Uongo...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuanzia BBC,VOA,DW etc waliovuma miaka ya 90 kurudi nyuma Binafsi nawakumbuka wafuatao 1. Jerome Danford Kassembe (Nilipenda akijitambulisha ) VOA 2. Abdul Shakur Abud 3. Elias Maghembe 4...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Salaam wana JF. Tafadhali sana anayejua bunge la bajeti linaisha lini. Na likiisha PAC huwa wanabaki dodoma kwa muda au wanarudi majimboni kwao moja kwa moja.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tarehe kama ya Leo Mwaka uliopita ikumbukwe kwamba simu feki zilizimwa na TCRA! je wewe unakumbuka nini tarehe kama ye leo! Ni mimi TheMason
1 Reactions
4 Replies
1K Views
DRUGS WON - KRS ONE Ukisikiliza album ya mkongwe KRS One inayokwenda kwa jina la " now hear this " ambayo aliitoa rasmi mwaka juzi mwishoni basi utakutana na ngoma moja inaitwa " drugs won "...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya rekodi za historia nahisi hazijakaa sawa, au inawezekana labda mimi ndio nina kichwa kigumu kuelewa lakini naamini kutakuwa na wataalamu wa kulifafanua hili jambo vizuri, Utata...
3 Reactions
123 Replies
14K Views
Kwanza TV inawaletea makala maalum na tunaendelea kufuatilia kesi hii. RIPOTI MAALUM: Wananchi wadai TANROADS iliwapa notisi ya siku 30 wabomoe nyumba zao kwa mikono yao wenyewe, wakishindwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jambo watanzania! Toka nizaliwe sijawahi kwea pipa,natamani siku moja nipande na mimi ili nijionee ufahari wa dubwana hilo.Ndugu watanzania naombeni ushauri wenu namna ya kuifikia ndoto yangu...
0 Reactions
7 Replies
964 Views
Saudi Arabia ni moja kati ya nchi nne pekee, ambazo bado zinatekeleza adhabu ya kifo hadharani, nchi hizo ni korea kaskazini,Iran,Saudi Arabia,na Somalia. Nchini Saudi Arabia Serikali ya kifalme...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Hello wakuu, Sometimes I keep asking myself, elimu yangu imenisaidia vipi? Profession niliyosomea hata sio kazi ninayoifanya. Back in days I thought being a pilot was a big deal so I went for it...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Keshokutwa nategemea kwenda Mbeya kikazi na nitakuwepo pale kwa siku 5. Sijawahi kufika kabisa nyada za juu kusini, naombeni mnitajie basi zuri na linalokimbia sana ili niwahi kufika jijini Mbeya...
1 Reactions
66 Replies
12K Views
wakuu naomba kujuzwa, Kuna rafiki yangu kamaliza degree ya sheria na ana master ya business administration, sasa juzi apa ameacha kazi ili ajipange kuingia jeshini. Mimi sina information za...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Mradi huu ujulikanao kwa jina la Science, Maths and English -ICT Project, ulikuwa unatekelewa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Mradi ulilenga masomo ya sayansi, hesabu na Kiingereza...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakazi Kijiji cha Itete, Malinyi wadai kuchangishwa 800k kwa ajili ya mafuta ya gari ya DC ili aende kutatu mgogoro wa ardhi. Chanzo: Mwananchi Wakuu hii imekaaje wananchi kuchangishwa wakati...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Watu wawili wamefariki dunia Leo hii asubuhi katika nyumba ya marehemu bilionea Msuya baada ya moja ya chumba walichokuwa kuungua Moto huku mwanaume hiyo akiwa amefungwa kamba mikononi. Tayari...
6 Reactions
613 Replies
98K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…