Anavyoonekana anataka kulikwea pipa Ila tatizo hana pesa.Unatak kulikwea lini hilo pipa niweke mipango sawa
Jambo watanzania!
Toka nizaliwe sijawahi kwea pipa,natamani siku moja nipande na mimi ili nijionee ufahari wa dubwana hilo.Ndugu watanzania naombeni ushauri wenu namna ya kuifikia ndoto yangu.
Ahsanteni Kwa Kumakinika Na Kiu Yangu