Nitajieni basi zuri la Dar-Mbeya

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,410
3,548
Keshokutwa nategemea kwenda Mbeya kikazi na nitakuwepo pale kwa siku 5. Sijawahi kufika kabisa nyada za juu kusini, naombeni mnitajie basi zuri na linalokimbia sana ili niwahi kufika jijini Mbeya mapema. Karibuni mtiririke wadau...
 
JM ni bus zuri. Nauli ni 40,000/=. Lina mwendo unaozingatia usalama. Naogopa kukutajia gari linalokimbia sana kwa sababu abiria yeyote makini hawezi kukimbilia bus linalokimbia sana.
 
Hv Ndenjela bado lipo? Lilikuwa powa sana miaka ile niliposafiri nalo kwenda huko.
 
Keshokutwa nategemea kwenda Mbeya kikazi na nitakuwepo pale kwa siku 5. Sijawahi kufika kabisa nyada za juu kusini, naombeni mnitajie basi zuri na linalokimbia sana ili niwahi kufika jijini Mbeya mapema. Karibuni mtiririke wadau...
Kama wataka kuwahi kufika panda Fastjet (ndege) na siyo basi!
 
Back
Top Bottom