Makala maalum kuhusu Bomoabomoa ya Kimara

Kwanza TV

Member
May 2, 2017
33
69
Kwanza TV inawaletea makala maalum na tunaendelea kufuatilia kesi hii.

RIPOTI MAALUM: Wananchi wadai TANROADS iliwapa notisi ya siku 30 wabomoe nyumba zao kwa mikono yao wenyewe, wakishindwa watafikishwa mahakamani. Wananchi waamua kuishtaki Serikali Mahakama ya Ardhi. Vikongwe waongea ya moyoni. Rais Magufuli aombwa kuingilia sakata hili.

 
Back
Top Bottom