Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Wakazi Kijiji cha Itete, Malinyi wadai kuchangishwa 800k kwa ajili ya mafuta ya gari ya DC ili aende kutatu mgogoro wa ardhi.
Chanzo: Mwananchi
Wakuu hii imekaaje wananchi kuchangishwa wakati mkuu wa wilaya ana fungu kabisa kwa ajili ya mafuta. Huu ni unyonyaji mkubwa kwa wananchi masikini.
Chanzo: Mwananchi
Wakuu hii imekaaje wananchi kuchangishwa wakati mkuu wa wilaya ana fungu kabisa kwa ajili ya mafuta. Huu ni unyonyaji mkubwa kwa wananchi masikini.