Tuwakumbuke watangazaji wakongwe Idhaa za Kimataifa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
7,121
10,231
Kuanzia BBC,VOA,DW etc waliovuma miaka ya 90 kurudi nyuma

Binafsi nawakumbuka wafuatao

1. Jerome Danford Kassembe (Nilipenda akijitambulisha ) VOA
2. Abdul Shakur Abud
3. Elias Maghembe
4. Tido Muhando
5. Aika Elinewinga
6. Emmanuel Muganda
7,Vincent Makori
8. Waihenya Kabiru
9 . Tommy Atandi
10. Shimanyula
11. Khadija Riyami
12. Haroub Othman
13. Mohammed Abdulrahman
14. Sekion Kitojo
15. Aboubakary Liongo
16. ONGEZA UNAOWAKUMBUKA MDAU MIAKA YA 90 KURUDI NYUMA KUTOKA VOA,DW,NHK,CHANNEL AFRIKA,FEBA RADIO,BBC,NK
 
Pita musembi,Salim kikeke,Zuhura yunus haha wengine wamezaliwa juzi bana unawaonea bure
 
Mohammed Abdulrahman..alikua anasauti ya kipekee anasoma kwa utulivu mpaka raha hana papara..sio hawa kina sam mahela na gabriel zakaria ..papara tupu na kujifanya wana vigugumizi utadhani hiyo ndio sifa ya utangazaji hovyo kabisa
 
1.Ummu lkheiri
2.Suddy Mnete
3.Abdul mtulia
4.Robat kipto
5.Tolelana Bolela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom