Tony Yeyo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 727
- 548
wakuu naomba kujuzwa,
Kuna rafiki yangu kamaliza degree ya sheria na ana master ya business administration, sasa juzi apa ameacha kazi ili ajipange kuingia jeshini.
Mimi sina information za kutosha kuhusu jeshi, kwa iyo sikuweza kumpa ideas za maana, ila kwa upande wake yeye ana sema kwa elimu yake akiingia jeshini basi atakuwa kweny position nzuri.
Wakuu naombeni kujuzwa kuhusu hilo.