Elimu yako imekusaidia vipi?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,092
21,773
Hello wakuu,

Sometimes I keep asking myself, elimu yangu imenisaidia vipi? Profession niliyosomea hata sio kazi ninayoifanya. Back in days I thought being a pilot was a big deal so I went for it, lakini now kilimo?

Sio mimi tu, ila naamini ni watanzania wengi ambao tunasoma vitu ambacho at the end of the day havina applicability in real life. Utaona mheshimiwa fulani ameteuliwa kuwa mkuu wa wizara fulani ila ukicheck correlation na profession ndio unadata.

Frankly speaking, hivi dokta mwinyi ni mtu wa kuongoza wizara ya ulinzi kweli? Anyways, don't take it personal.

Ni mawazo ya mlevi tu.
 
Arooooo afande mwita hebu rikamate hiri..
naona rimetumwa kuja kuharibu hali ya hewa.

Hello wakuu,
Sometimes I keep asking myself, elimu yangu imenisaidia vipi? Profession niliyosomea hata sio kazi ninayoifanya. Back in days I thought being a pilot was a big deal so I went for it, lakini now.... kilimo??? Sio mimi tu, ila naamini ni watanzania wengi ambao tunasoma vitu ambacho at the end of the day havina applicability in real life... utaona mh. Fulani ameteuliwa kuwa mkuu wa wizara fulani ila ukicheck correlation na profession ndio unadata. Frankly speaking, hivi dokta mwinyi ni mtu wa kuongoza wizara ya ulinzi kweli? Nweiz, don't take it personal, ni mawazo ya mlevi tuuu
 
Duu kiuhalisia hii nchii haiko sawa you might get a person who is profissionally a teacher but in real life is a vendor!! Oooshit what is dis men!!?
 
Being a pilot is a profession? tuache masihara hizo ni skills tu za kuendesha hicho chombo, hivyo vyombo vikiwa vingi kila mtu atakua na hizo skills, ni kama udereva, wewe endelea kulima tu, umefanya la maana.
 
Me imenixaidia kidogo coz na IT yangu computer za watu wa kitaa changu zikizungua lazima nipate hela ya soda
 
Hello wakuu,

Sometimes I keep asking myself, elimu yangu imenisaidia vipi? Profession niliyosomea hata sio kazi ninayoifanya. Back in days I thought being a pilot was a big deal so I went for it, lakini now kilimo?

Sio mimi tu, ila naamini ni watanzania wengi ambao tunasoma vitu ambacho at the end of the day havina applicability in real life. Utaona mheshimiwa fulani ameteuliwa kuwa mkuu wa wizara fulani ila ukicheck correlation na profession ndio unadata.

Frankly speaking, hivi dokta mwinyi ni mtu wa kuongoza wizara ya ulinzi kweli? Anyways, don't take it personal.

Ni mawazo ya mlevi tu.
Ni mawazo ya mlevi tu nilisomea uganga lakini sasa nafanya kazi ya mochwari
 
ndege si kama gari kwamba utapiga jalamba wiki tu then una_paisha chombo,calculation needed,direction needed,measurement needed........piga fizikia,geografia na mathematics
 
Back
Top Bottom