Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Nathan Mpangala Foundation (NMF), Nathan Mpangala amesema umefika wakati sasa Katiba kutoa ulinzi kwenye kazi za ubunifu. Mpangala alikuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wiki hii walifanyiwa mahojiano na Gazeti la Mwananchi na kufunguka mengi kuhusu maisha yao pamoja na ishu yao ya kufikiria kuolewa. Si rahisi kufikiria maisha ya ndoa ya Maria na Consolata kwa...
12 Reactions
141 Replies
19K Views
Hivi majuzi nilienda TRA kulipa kodi nikaambiwa kuna gari sijalilipia kodi ya mapato na motor vehicle kwa muda wa miaka kumi kwa hiyo natakiwa nilipe hilo deni. Gari hilo lilishakatwakatwa na...
8 Reactions
70 Replies
7K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAASISI YA NATHAN MPANGALA FOUNDATION (NMF) KUWAJENGEA UWEZO WACHORA VIBONZO NCHINI Warsha ya wachora vibonzo vijana. Tarehe 7-9/6/2017, NMF itaendesha warsha ya...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Shuguli kubwa za wakazi wa wilaya hiyo iliyoko pembezoni mwa barabara kuu ya Dar es Salaam –Mtwara ni biashara za aina mbalimbali, ambazo watu wanauza kutokana kwa wasafiri wa magari, nyakati...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huu mtandao siku hizi umekuwa kimeo. Mwanzoni wakati tumeanza kuutumia kwa ajili ya kuangalia taarifa zetu za utumishi, ikiwa ni pamoja na taarifa za mishahara website hii ilikuwa ikifanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Zaidi ya nusu karne ya uhuru wa nchi, bado watoto 130 wa Tanzania hufariki kila siku kwa ukosefu wa lishe bora! Hapo hujaweka idadi ya wale wanao "dumaa"!!! Hii imekaaje GT?
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Ndugu wapendwa wateja wetu, tunapenda kuwataarifu kuwa Halotel hatujatengeneza wala kusambaza kifurushi cha huduma mpya ambacho kimesambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii, Kama tunavyojali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baadhi ya Wafanyakazi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania( Bakwata) waliopo makao makuu Dar es salaam, wamelalamikia hatua ya kutolipwa kwa miezi minne, jambo linalowafanya waishi kwa shida Mmoja...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Nauliza tena je Tajiri kuzikwa na Hela katika Kaburi lake ni moja ya : Laana yake ( Marehemu ) Kufuru kubwa kwa Mwenyezi Mungu ambayo haikubaliki abadan Ukengeukaji / Upumbavu wa hali ya juu wa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Mwanaghati iliyopo Ukonga Ilala Jijini Dar es Salaam (Kwa Wakurya) wameenda kufanya fujo ktk eneo moja linalofahamika kwa jina la Nyantila kufuati bifu lao la muda...
3 Reactions
60 Replies
11K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, huduma zote zimesimama ikiwa ni pamoja na utoaji dawa kwa wagonjwa hali ambao imepelekea watu kukaa kusubiri umeme. Kutokana na hali hiyo binafsi ikabidi...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Hello guys, Naomba Leo niwaletee tofauti niliyoona Kati ya jiji la Dar na la Nairobi. Nairobi: Lugha kubwa inayotumika pale Ni English wengi hawajui kiswahili vizuri., ijapo huzungumza lugha...
5 Reactions
72 Replies
12K Views
The best song kuwahi kutokea tangu uhuru,prophecy ya hali ya juu kabisa,Hili dude likipigwa akili za watu huwa zinaruka kabisa,nice song folks,so tremendous Na i dedicate kwa wabunge wazalendo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nipo hapa moshi kwa Shughuki zangu. jumapili ya Leo nikaMua nijichanganye kidogo KITAA nipate moja mbili na vijana wa hapa. Nikiwa kijiweni ndio nikapata habari za JEMBE IPO HIVI VijAna...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, imeteketeza ekari moja ya shamba la Bangi iliyokutwa imepandwa katikati ya msitu wa hifadhi wa Buhindi uliopo katika halmashauri...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwa anaefahamu atupe jibu maana ni sura ngeni tunamfahamu zaidi yule mama aliekuwa Ndenjela huyu yupo kampuni gani.
16 Reactions
158 Replies
32K Views
Habari wadau, Kuna hii habari imekuwepo kwenye gazeti la mwananchi leo ikidai; HESLB imeanza mazungumzo na taasisi za fedha na mifuko ya pensheni ili kuongeza vyanzo vya mapato na kuweza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kampuni ya ndege ya Rwanda Air imenunua ndege mpya aina ya Boeing 737-800, inachukua watu 154, itasafiri kwenda nchi za Afrika Magharibi
2 Reactions
170 Replies
14K Views
Mimi ni Mtanzania mzalendo napenda kutoa ushauri kwa vyombo vyetu vya usalama kuimarisha ulinzi wakati wa things katika vyombo vya Usafiri wa Umma. Kuhusu usafiri wa anga naipongeza Serikali kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…