Bila jembe hupandi mlima Kilimanjaro

Hashimoodz

Senior Member
Feb 26, 2017
112
111
Jamani nipo hapa moshi kwa Shughuki zangu.
jumapili ya Leo nikaMua nijichanganye kidogo KITAA nipate moja mbili na vijana wa hapa.

Nikiwa kijiweni ndio nikapata habari za JEMBE

IPO HIVI
VijAna wengi mjini hapa wamejikita kwenye sekta ya utalii.

Na wengi ni ma Porter

Potters
Hili ni kundi kubwa LA vijana ambo Shughuki zao ni kubeba mizigo ya wazungu pindi wapandapo mlima

Wanafanya kazi ngumu sana hawa.

Tour Guards
Hawa ndio wakuu wa msafara ambayo Wameajiriwa na kampuni ya utalii

Wanakula kwa kalamu

Kinachofanyika
Pindi kampuni inapotangaza deal LA kupandA mlima Porters huenda kujisajili

Sasa ili tour guard akuchAgue upande mlima sharti uwe na JEMBE

JEMBE
Jembe ni kiasi cha fedha tsh 10,000 - 30,000
Yaani RUSHWA
Hi kitu unaambiwa ni lazima,LA sivyo hhupandi mlima kweli.

Na pesa hizi Anaepewa ni huyo guard

TAKUKURU Inakuwaje mpaka rushwa inahalalishwa na nyie mpo?
 
Takuruku wenywe n rushwa tosha
Sasa cjui unategemea nn
 
Unalalamikia rushwa tu mbona hulalamikii wale wadada wanaowachuna pindi mkirudi na mihela toka mlimani?

Mwenye nacho huongezewa ujue
Wanasema mlima hauami wala hauishi.

Wacha mrata ule hela leo na kili kadhaa kesho ntapanda tena mlima.

Kilemakyaro
 
Duh!!! kweli hawa "WAGUMU'' wanateseka kazi yenyewe ngumu halafu ukate tena jembe?? na wanalipwa kiasi gani kwa safari moja?
 
Back
Top Bottom