ndo mjue na wao ni binadamu wanachefukwaga sometimes ila ni drivers wazuri sana big up kwa wanawake wote2014 nilikuwa natoka Dom nakuja Dar kufika chalinze tukakutana na basi fulani hivi ilikuwa mpya mpya kimuonekano jina limenitoka
Yule dereva wa lile basi alitoka nduki na kutu overtake kwa spidi ya ajabu kufika mbele uso kwa uso na scania dereva wetu ikabidi asogee kando kumpisha alivyofanikiwa kupita pita na kukoswa bado akawa anaendelea kulikimbiza gari na kuovertake huko mbele mie nilimuona yule driver ni mwansmke ila abiria wengine hawakutambua na basi zima lilipigwa na butwaa na mshangao na minongono kibao
Bahati nzuri lile basi tukafanikiwa kulikuta mile 1 stand ndipo walipomuona yule driver ni mwanamke wacha watu waanze kucheka ,wenye kuongea lake ,watu walishangaa saaana
Popote alipo yule dereva mwanamke heshima kwake ase nampa salute
Alivaa uniform sketi ya blue ,shati jeupe huku akibadilisha gear tu na kuover take mijibaba yenye ndevu alikuwa na fujo sana barabarani
Nimekumbuka hili tukio
kila awamu upoMmh na inaonesha yuko vizuri na anaipenda kazi yake.. BIG UP
tanga to dom anaitwaKwa anaefahamu atupe jibu maana ni sura ngeni tunamfahamu zaidi yule mama aliekuwa Ndenjela huyu yupo kampuni gani.View attachment 516682