Ekari moja ya bangi iliyokuwa katikati ya msitu yateketezwa

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, imeteketeza ekari moja ya shamba la Bangi iliyokutwa imepandwa katikati ya msitu wa hifadhi wa Buhindi uliopo katika halmashauri ya Buchosa.
18765622_1229036850540620_4789117639546851047_n.jpg
 
Naona kuna kampango ka mkubwa flani. Kitu iadimike kidogo, bei iongezeke. Imetulia mda mrefu mno sasa hailipi. Kash kash hizi tena kwenye kila luninga wote waone ni kama promo ya mtu flan hivi.
 
Vuta tumbako! Mnaharibu akili alafu mnaanza kuwa mzigo kwa taifa! This is unacceptable...


Ndio hapo chacha :p:p:p! Hao wote walioshiriki hiyo operation wakamatwe kwa kujihusisha na vitendo vya kuvuta bangi kwa hiyari!
Vuta tumbako! Mnaharibu akili alafu mnaanza kuwa mzigo kwa taifa! This is unacceptable...


Ndio hapo chacha :p:p:p! Hao wote walioshiriki hiyo operation wakamatwe kwa kujihusisha na vitendo vya kuvuta bangi kwa hiyari!
Sijawahi na sitakuwa mzigo kwa taifa kingine upunguze ujuaji
 
Bungeni serikali imesema Askari wanavaa vifaa maalumu wakati wa uteketezaji wa Bangi ili kuzuia athari za bangi hiyo kwao


Ila naona kwenye picha hapo watu wamevaa magwanda ya cotton tuu..au ndio vifaa maalum?
 
Hawana nia ya kuteketeza bangi,bangi ikichomwa mbegu zinapukutika chini mvua ikinyesha tu anamea tena kwa kasi kama ulitia mbolea kwasababu ya kuoza kwa yale majani yaliyochomwa wangekua na nia kweli wangetafuta dawa ya kuua kabisa huu mmea ila hii staili yao ni geresha tu
 
Back
Top Bottom