ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
The best song kuwahi kutokea tangu uhuru,prophecy ya hali ya juu kabisa,Hili dude likipigwa akili za watu huwa zinaruka kabisa,nice song folks,so tremendous
Na i dedicate kwa wabunge wazalendo wa CCM wanaopigania maslahi ya makinikia pale Dodoma,tunawasoma sana wazalendo wetu,ifuteni hiyo mikataba ya madini waliosaini kina mbowe maana inatuletea shida kama yule mbunge wa huko Geita alivyosema jana,shule iko kilometa moja toka mgodini watoto wanakaa chini na kuna umaskini mkubwa..pambaneni wazalendo ,CCM Mbele kwa mbeleeeeeeeeee.