Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Kampuni ya ndege ya Rwanda Air imenunua ndege mpya aina ya Boeing 737-800, inachukua watu 154, itasafiri kwenda nchi za Afrika Magharibi
Mkuu hata sisi tupo kwenye gane kitambo, halafu huyu si mshauri wa Rais?Kwenye game kitambo mtamueleza nin
Kampuni ya ndege ya Rwanda Air imenunua ndege mpya aina ya Boeing 737-800, inachukua watu 154, itasafiri kwenda nchi za Afrika Magharibi
Thubutu, miaka 55 bado hatujafika. Rwanda ya juzi juzi wanatutupa mbali sana.Tutafika pia
Miaka 55 bado hatujafika kwenye wakati wake?Sawa,na sisi tuko njiani, kila jambo na wakati wake.
Akili kubwaz kama babu kijana le Mutuz.Anapata wapi hela huyu,?
Ni miaka miwili tu mkuu,hiyo mingine 53 ilikuwa nul, nul,nul.Miaka 55 bado hatujafika kwenye wakati wake?
Ni mwizi kama marekani na Israel anaiba madini hapo kongo kwa ajili ya nchi yake mungu ampe maisha marefuAnapata wapi hela huyu,?