Website ya Watumishi Portal Mnazingua

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,307
4,585
Huu mtandao siku hizi umekuwa kimeo.

Mwanzoni wakati tumeanza kuutumia kwa ajili ya kuangalia taarifa zetu za utumishi, ikiwa ni pamoja na taarifa za mishahara website hii ilikuwa ikifanya kazi vizuri, lakini sasa ku login kwenye huyu mtandao ni bahati ya mtende.
 
Back
Top Bottom