Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana JF, Jana nimepanda bus la Green Star nililoamini ndo bus lenye ubora na kiwango, sikuamini macho na masikio yangu tokea ubungo lilivyokuwa likiendelea kutoa kelele ktk diff yake na hatimaye...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA* *TAARIFA YA KUTOKEA HITILAFU WILAYA YA KIGAMBONI* Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) Wilaya ya Kigamboni linasikitika kuwataarifu wateja wake wa wilaya ya Kigamboni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hofu kubwa imetanda kwa wakazi wa kijiji cha Mkata Stesheni wilayani Kilosa mkoani Morogoro huku baadhi yao wakipoteza fahamu baada ya kupewa muda wa siku 30 kuhama katika kijiji hicho kupisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali wilayani Handeni imewapiga marufuku wakulima kuacha kuuza Mahindi yakiwa shambani ili waweze kutumia vyema fursa ya mavuno ya msimu wa mvua za masika. Pia kujiwekea chakula badala ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wiki iliyopita nilikuwa nikisafri toka Moshi kuja Dar nikiwa na Landcruiser V8. Baada ya kuvuka mto Wami nilisimamishwa na askari wa Usalama Barabarani nikaambiwa niliteremka bonde la mto Wami kwa...
35 Reactions
220 Replies
29K Views
Hakuna haja ya Mimi Kuongea Mengi, Hilary Clinton pamoja na Rais Obama au Kwa Maslahi ya Taifa au kwa Visa vyao Binafsi walkmfanyia Putin Unyama mwaka 2011 Kiasi cha Kumtoa Machozi Literally...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali wilayani kiteto sio msaada kwa wananchi Serikali wilayani kiteto sio msaada kwa wananchi
0 Reactions
1 Replies
610 Views
Nina Ona tunakoelekea Mpaka huu Mwaka Uishe Kuanzia July 2017 Mpaka Disemba kuna Maamuzi Magumu ambayo Mkuu wa Nchi atakuwa ameyafanya ambayo Mengi yatabadirisha Upepo wa Maisha Tuliyoyazoea...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Niseme ukweli, pamoja na kuteuliwa kuwa IGP, mie sikuheshimu sana kutokana na utendaji na kauli zako za huko nyuma, kitu kilichonifanya nijiulize kama kweli una busara za kukufanya uwe kiongozi wa...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
TUME ya Utumishi wa Walimu imesema mwalimu ambaye hataonekana katika kituo chake cha kazi kwa siku tano bila taarifa, atakuwa amejifukuzisha kazi na hakutakuwa na mjadala katika hilo. Pia...
2 Reactions
2 Replies
937 Views
Mwamko wa kutembelea urithi wetu haupo... Wengine mara ya kwanza kuwaona wanyama ni safari kupitia mbugani... Sikumbuki kama nimewahi kuwaona viongozi wetu wakitembelea kama mfano na motisha...
0 Reactions
1 Replies
752 Views
Hodi katika jamvi ni matumaini yangu ku mmeamka salama jana usiku katika wilaya Makete Mkoa wa Njombe. Askari walikuwa wakipita katika nyumba za kulala wageni na kukamata wageni waliokuwa wamelala...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Tunamuomba Mheshimiwa Raisi wetu J.P.M wananchi wa Tanzania tupewe haki yetu ya kuwinda wanyamapori kwa kufuata sheria na kanuni za uwindaji na sio kubaguliwa nchini mwetu na wizara husika kwa...
0 Reactions
7 Replies
861 Views
  • Closed
Kuna clip iliyotengenezwa na wajinga flani wenye uelewa wa KKK tu inayoigiza saitu ya Mh Mbowe eti akiongea na Wema Sepetu. Pamoja na hizi kua ni propaganda za kijinga na uchwara zinatungwa...
7 Reactions
54 Replies
4K Views
Habari waungwana, Mwezi may 2016 nilikamilisha michakato ya uhamisho nikitumaini mapema July kuhama, toka mkoa wa mbeya kurejea mkoa wa mwanza, halmashauri ya misungwi. Baadae June, mwaka...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ndugu wapendwa, Naomba niwajulishe hasa wale ndugu zangu wa social work Ni mmoja wa wahanga wa hii NGO natokea mkoani na nimekuwa nikifanya kazi za kufundisha baadhi ya mikoa. Nimefanya na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu Raia wema, naomba kuwauliza wale mnaondesha na wegine ni matumaini yangu kuwa mtakuja kuendesha siku za baadae. Iwapo umemgonga mtu usiku na una uhakika asilimia 80 - 90 Hakuna...
1 Reactions
83 Replies
11K Views
  • Closed
Asema ujumbe huo utakuwa umesambazwa kutokea kwa Mbowe mwenyewe(mke wake au girl friend wake) Msikilize Wema:
6 Reactions
234 Replies
27K Views
A'aleykum! Hivi serikali imefikia wapi kuhusiana na magari ya mizigo ya kitanzania yaliyokamatwa mpakani mwa Zambia na Tanzania (border). Kwa sababu serikali iliahidi itatoa majibu ndani ya masaa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…