figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,487
*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA*
*TAARIFA YA KUTOKEA HITILAFU WILAYA YA KIGAMBONI*
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) Wilaya ya Kigamboni linasikitika kuwataarifu wateja wake wa wilaya ya Kigamboni
kuwa leo tarehe 05/06/2017 kuanziasaa 01:44 asubuhi kumetokea hitilafu.
*SABABU* Tatizo la kiufundi katika line ya mjimwema.
*MAENEO YANAYOATHIRIKA*
Mjimwema, Ungindoni, Mikwambe Kisarawe 2 na maeneo jirani.
*JITIHADA*
Mafundi wetu wapo eneo la tukio wakiendelea na matengenezo ili kurudisha umeme katika maeneo yote yaliyoathirika.
Tunaomba radhi kwa usumbufu.
*Imetolewa na*
*Ofisi ya Uhusiano na wateja*
TANESCO- TEMEKE