Kuanzia July 2017 Tujiandae Kulima kwa Meno

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,909
Nina Ona tunakoelekea Mpaka huu Mwaka Uishe Kuanzia July 2017 Mpaka Disemba kuna Maamuzi Magumu ambayo Mkuu wa Nchi atakuwa ameyafanya ambayo Mengi yatabadirisha Upepo wa Maisha Tuliyoyazoea.

Taasisi Nyingi zitafutwa, Bodi Nyingi zitavunjwa na kufutwa kabisa na hasa baada ya Report ya Pili kutolewa kuna watu watatamani Mauti ziwafike haraka.
 
Asante umetoa angalizo mapema watu wajiandae kisaikolojia wasije kuondoka duniani kwa shinikizo la damu.
 
Back
Top Bottom