Hussein Malik Hussein
Member
- May 28, 2017
- 6
- 5
A'aleykum!
Hivi serikali imefikia wapi kuhusiana na magari ya mizigo ya kitanzania yaliyokamatwa mpakani mwa Zambia na Tanzania (border). Kwa sababu serikali iliahidi itatoa majibu ndani ya masaa 72 lakini toka walivyosema hivyo hatukupewa majibu baada ya hayo masaa 72 kufika badala yake imekuwa ni zaidi ya mwezi sasa toka wamesema hivyo na wamekuwa kimya na hili suala halizungumziwi tena mpaka leo hii, sisi kama wamiliki wa magari hayo tunaiomba serikali itusaidie kwa hili kwani ni miezi 5 sasa toka hayo magari yakamatwe kutokana na kupakia mzigo wa magogo.