MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Kuna clip iliyotengenezwa na wajinga flani wenye uelewa wa KKK tu inayoigiza saitu ya Mh Mbowe eti akiongea na Wema Sepetu.
Pamoja na hizi kua ni propaganda za kijinga na uchwara zinatungwa wajinga waliokosa kazi,TCRA na Polisi kitengo cha usalama wa mitandao kama vyombo vinavyodhibiti matumizi na mawasiliano kupitia mitandao yote ya kijamii mnatakiwa kuwakamata na kuwashughulikua wahuni na wahalifu hawa.
Hii hali ikiachwa naweza kusababisha uhasama,chuki na machafuko nchini, haya mambo hata Rwanda yalianza hivi hivi. Mh Mbowe ni kiongozi mkubwa ndani ya chama na bunge sio wa kumchafua kiasi hili. Hakika hatutakubali, wahusika wanafahamika na walikofanyia ujinga huu panajulikana, washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.