Mh Rais tunaomba usikie kilio chetu

mbumba

Member
Oct 20, 2015
50
95
Tunamuomba Mheshimiwa Raisi wetu J.P.M wananchi wa Tanzania tupewe haki yetu ya kuwinda wanyamapori kwa kufuata sheria na kanuni za uwindaji na sio kubaguliwa nchini mwetu na wizara husika kwa kuifanya burdani hii ni ya wageni tu tunamuomba Mheshimiwa Raisi wetu afuatilie wizara hii
 
T-Bagwell

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
1,113
2,000
Mkuu unataka kuwinda simba Serengeti au? Maana wenzio vijijini wanamaliza ngurue pori kwa kasi sana.
 
  • Thanks
Reactions: 247

mbumba

Member
Oct 20, 2015
50
95
Kuwinda ni haki yetu watanzania sisi tumefungiwa Kuwinda ila Wageni wanaruhusiwa hii sio haki na sisi tuna haki katika nchi yetu mkuu
 
mbumba

Member
Oct 20, 2015
50
95
Mkuu unataka kuwinda simba Serengeti au? Maana wenzio vijijini wanamaliza ngurue pori kwa kasi sana.
Kuwnda ni haki yetu sisi watanzania tumefungiwa Kuwinda ila wageni wanaruhusiwa. Sisi tuna haki ya Kuwinda nchi ni kwetu
 
T-Bagwell

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
1,113
2,000
Kuwnda ni haki yetu sisi watanzania tumefungiwa Kuwinda ila wageni wanaruhusiwa. Sisi tuna haki ya Kuwinda nchi ni kwetu
Ndio maana nimekuuliza unataka kuwinda wapi? Alafu watanzania ukiwaruhusu kuwinda hawatanunua nyama buchani na wanyama wote wataisha ndani ya mwaka
 
  • Thanks
Reactions: 247

mbumba

Member
Oct 20, 2015
50
95
Ndio maana nimekuuliza unataka kuwinda wapi? Alafu watanzania ukiwaruhusu kuwinda hawatanunua nyama buchani na wanyama wote wataisha ndani ya mwaka
Mkuu kuna mapori yametengwa kwa local hunting yaani kwa watanzania kila wilaya zaidi tumeanza Kuwinda toka Ma Babu zetu na Wanyama hawaishi na Kuwinda sio kujiamulia tu unawinda kutokana na Kibali halali unapewa na wilaya husika sasa ukisema Wanyama wataisha ni kwa sisi watanzania tu? Kwa wageni hawata isha?
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
12,726

Naona umemiss vimolo ?
 
Eng Nyahucho

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
585
1,000
Tunamuomba Mheshimiwa Raisi wetu J.P.M wananchi wa Tanzania tupewe haki yetu ya kuwinda wanyamapori kwa kufuata sheria na kanuni za uwindaji na sio kubaguliwa nchini mwetu na wizara husika kwa kuifanya burdani hii ni ya wageni tu tunamuomba Mheshimiwa Raisi wetu afuatilie wizara hii
Kwa anaejielewa umeongea kitu cha maana sana. Kilio chako one day kitafika mkuu, jaribu kupaza sauti na huko fb, inst n.k
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom