Undundu aliomfanyiwa Hilary Clinton na Vladimir Putin aliyataka Mwenyewe!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,807
Hakuna haja ya Mimi Kuongea Mengi, Hilary Clinton pamoja na Rais Obama au Kwa Maslahi ya Taifa au kwa Visa vyao Binafsi walkmfanyia Putin Unyama mwaka 2011 Kiasi cha Kumtoa Machozi Literally!

Alipopata Nafasi 2016 akawafanyizia, hasa akamfanyizia Hilary Hujuma mara 10x ya alivyomfanyia 2011. Mimi Kisiasa ndio Falsafa yangu Ukinihujumu nakuhujumu mara 10x zaidi. Na hutakaa ujue au Uthibitishe nimekuliza mimi. Utabaki kulia tu!

 
Engineer wa ule mchezo na yale maandamano alikua HClinton
 
TL. Marandu hujawahi kukosea mkuu
Nilisemaga hapa wakati Fulani Kuwa Trump hakushinda ila Uchaguzi uliingiliwa tena kwenye computers hasa za Pensilvania wakatokea wajina Wakabisha na Kutukana! Wiki haikuisha Obama akawafukuza Maofisa wa Kituo cha Kirasia karibu themanini na sasa Kashfa imenuka mpaka Kwa Mkwe wa Trump! Ila ukweli Ni kuwa Hilary alikuwa Mbaya sana Mwone anavyoshangilia Qaddafi akiuawa!

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom