real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Hofu kubwa imetanda kwa wakazi wa kijiji cha Mkata Stesheni wilayani Kilosa mkoani Morogoro huku baadhi yao wakipoteza fahamu baada ya kupewa muda wa siku 30 kuhama katika kijiji hicho kupisha upanuzi wa reli ya kati ambapo zaidi ya wananchi 1,630 wanatakiwa kuondoka bila kuonyeshwa maeneo mengine ya kuweka makazi ya kudumu.