Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau Hii Kitu Nimeipata Leo, Wananiambia Ni Accept, Kuna Yoyote Alisha Kutana Nayo, Vp Sio hackers Hao, Naombeni Msaada.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam Mh. Mwaka jana uliagiza kusima kwa shughuli baadhi za utumishi ikiwa ni pamoja na UHAMISHO. Ulisema kwa mwezi mmoja au miwili mambo yataendelea. Mkuu, leo umetimia mwaka toka usimamishe...
0 Reactions
1 Replies
836 Views
1.Kundi la Muslim Brotherhood Baraza la ushirikiano wa mataifa ya ghuba, yanasema kuwa Qatar iliunga mkono upinzani wakati wa vuguvugu lililotokea kwa mataifa ya kiarabu. Doha, ilionekana kama...
3 Reactions
45 Replies
7K Views
Binafsi huwa na kereka sana na tabia ya vyombo vya habari hususa vya michezo na wanasiasa ambapo wamekuwa wakiripoti taarifa zao bila kuzingatia pia mahitaji ya watu wanaowafatilia Utasikia...
2 Reactions
3 Replies
783 Views
Siku moja baada ya Bodi ya pamba Tanzania kufungua msimu wa ununuzi wa zao hilo kwa wakulima wa mikoa 15 ya kanda ya ziwa na magharibi, serikali mkoani Mwanza imepinga bei ya shilingi 1100...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
chadema ni kama mtoto wa miaka 3, yaani ni mtoto wa miaka3 lkn mwenye umbo la mtu mzima, hivyo unafanya nini na mtoto wa miaka 3? Inabidi umelee tu na kuendelea kumfundisha huku umkimvumilia ukiwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Chanzo: Mwananchi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Marehemu Samweli sitta pamoja na udhaifu wake lakini Bunge lake lilikuwa lenye nguvu kubwa sana na alikuwa anajiamini mno katika uendeshaji wa Bunge nzima. Sasa kwasababu waliofuata wote...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Tanzania yaigomea Rwanda kutumia Sehemu ya Anga la Tanzania kwa Mara Nyingine.
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Yaani ni balaa jamani ,wenyewe mnaliona,kumbi zimefulia,bendi zimefulia,hata wachache wanaoingia vinywaji vya kusikilizia mpaka inzi wanaingia kwenye glass. Ila leo sikutarajia...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Pata Azam2 live hapa.Tunasubiri ITV live stream. http://196.41.40.253:1935/live/myStream/playlist.m3u8
0 Reactions
5 Replies
21K Views
Hivi kweli, hapa nchini tunao wataalamu wa compyuta walio mahiri vya kutosha kuweza kuzuia uharibifu (hacking) katika ile mitambo ya kukusanya kodi ambayo Mhe Rais aliizindua siku chache...
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Steve Nyerere alipoulizwa juu ya kuigiza sauti ya Mbowe alisema kila kitu kipo wazi mwenye akili anaona, na kuuliza hivi yeye aigize sauti ya kiongozi mkubwa kama Mbowe anatafuta nini? na...
1 Reactions
30 Replies
9K Views
Kama wewe ni mteja wa NAKUMAT arusha ukienda kwa sasa kuna hali isiyo yakawaida, shelfu zinaanza kukauka, Nahisi jamaa wanamaliza Stock kwa sababu hata Huko Kwao wamefunga Branch kibao.
1 Reactions
63 Replies
7K Views
Kila mtu ana msongo wa mawazo ila kunakuzidiana, Sasa kati ya mwenye mimali(tajiri like Dangote, Mo, ) na Asiye Mali (Maskini like Mimi hapa) ni na mwenye wingi wa stres?
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.. Ni ukweli usio pingika... japo wapo watakao pingana na hili. (naruhusu mjadala "KUPANULIWA" ili kila mtu aweze kupata maoni na UJUZI zaidi)...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
Jiunge Leo!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
0 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na mtafiti wa Kamusi ya Kiswahili kwenye simu za mkononi Dk George Mrikalia akionyesha namna kamusi hiyo inavyofanya kazi wakati wa maonyesho ya wiki...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Natafuta sehemu yakufundisha kwa muda masomo ya Physics na Mathematics, nina Bachelor of Electronics&Communication na nna uwezo wakufundisha masomo tajwa......napatikana Dar es Salaam. Kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Habari wadau, Nimeona kwenye tv watu wamekamatwa wanalima bangi mkoa wa Dodoma. Na nakumbuka nilionaga pia Tarime walikamata mashamba ya bangi hekari kibao. Ninachojiuliza hivi kama bangi ina...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…