Steven Nyerere: Sio mimi niliyeigiza sauti ya Freeman Mbowe, asema Mbowe ni kiongozi mkubwa

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
17,057
18,406
Steve Nyerere alipoulizwa juu ya kuigiza sauti ya Mbowe alisema kila kitu kipo wazi mwenye akili anaona, na kuuliza hivi yeye aigize sauti ya kiongozi mkubwa kama Mbowe anatafuta nini? na kitakachompata ni nini? na akimuharibia yeye atafaidika na nini?

Ameongezea pia kutongoza sio dhambi ila kwa kiongozi wa umma inabidi ujifiche kwa sababu ya maadili

Msanii na mchekeshaji mwenye vipaji vya kuigiza sauti mbalimbali za viongozi mbalimbali wa serikalini na watu mbalimbali Tanzania, akiongea na baadhi ya waandishi wa habari amesema kwamba hawezi kufanya ujinga huo wa kuigiza sauti za watu na kwamba Mh Freeman Mbowe ni kiongozi mkubwa sana na hawezi kufanya hivyo na kusisitiza kwamba wale wanaoelewa watakuwa wamesikia hiyo audio note na kujua kwamba sio mimi.
WAKATI ANAONGEA AKUKUWA NA AUDIO REC WALA VIDEO?
 
Msanii na mchekeshaji mwenye vipaji vya kuigiza sauti mbalimbali za viongozi mbalimbali wa serikalini na watu mbalimbali Tanzania, akiongea na baadhi ya waandishi wa habari amesema kwamba hawezi kufanya ujinga huo wa kuigiza sauti za watu na kwamba Mh Freeman Mbowe ni kiongozi mkubwa sana na hawezi kufanya hivyo na kusisitiza kwamba wale wanaoelewa watakuwa wamesikia hiyo audio note na kujua kwamba sio mimi.
Asema nina mke na watoto leo hii nimtukane Mh Freeman mbowe mwenye wanachama zaidi ya Milioni 30 najitakia nini mimi (steven), siwezi kufanya hivyo

Chadema haina wanachama zaidi ya m30
 
Kuna waigizaji wazuri wa sauti za watu kuliko huyu Steve. Ila inawezekana steve ndie alie ratibu mchezo baada ya kupewa tenda
 
Jamaa kanaogopa kasije kuvurugiwa volcano huko bonde la ufa...!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom