Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
chadema ni kama mtoto wa miaka 3, yaani ni mtoto wa miaka3 lkn mwenye umbo la mtu mzima, hivyo unafanya nini na mtoto wa miaka 3? Inabidi umelee tu na kuendelea kumfundisha huku umkimvumilia ukiwa kama mlezi wake, hivyo ni jukumu la CCM kuilea chadema, ...