Je, Nakumat Arusha nao wanafunga Biashara?

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,526
8,791
Kama wewe ni mteja wa NAKUMAT arusha ukienda kwa sasa kuna hali isiyo yakawaida, shelfu zinaanza kukauka, Nahisi jamaa wanamaliza Stock kwa sababu hata Huko Kwao wamefunga Branch kibao.
 
Kwa Kweli kwa Sasa kuna anguko kubwa la biashara YA maduka makubwa na supermarket bongo.... Mfano. Mzuri nowdays mlimani city umeanzaa kupoa watu Hakuna... Kabisaa weekend Nilikua pale nilishangaa kuona mida YA Jion parking za magari ziko empty na CYO kama zamani kukutani jmoc mlimani pamepwaya lazima tujiulize tunakosea wapi
 
wanataka turudi kwenye maduka ya ushirika
Kwa Kweli kwa Sasa kuna anguko kubwa la biashara YA maduka makubwa na supermarket bongo.... Mfano. Mzuri nowdays mlimani city umeanzaa kupoa watu Hakuna... Kabisaa weekend Nilikua pale nilishangaa kuona mida YA Jion parking za magari ziko empty na CYO kama zamani kukutani jmoc mlimani pamepwaya lazima tujiulize tunakosea wapi[/QUOT
 
kodi tatzo kubwa sanah kwa makampuni mpaka watu bnafsi..hkuna hanaependa kulipa kodi bwanah...
 
Ni kweli hali ya uchumi si nzuri. Ukitaka kujua hali ilivyo nenda bank. Wale Tailer wanasubiri wateja huku wakiwa na smart phone zao mikononi. Wakati kabla bwana mkubwa hajaanza kuendesha lorry kulikuwa na foleni kibao.
 
Back
Top Bottom