lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,747
- 1,385
Marehemu Samweli sitta pamoja na udhaifu wake lakini Bunge lake lilikuwa lenye nguvu kubwa sana na alikuwa anajiamini mno katika uendeshaji wa Bunge nzima.
Sasa kwasababu waliofuata wote wamepwaya katika utendaji , je ninani angefaa kukalia hiki kiti cha u speaker
Naomba utoe jina na sababu. Ahsante.
Sasa kwasababu waliofuata wote wamepwaya katika utendaji , je ninani angefaa kukalia hiki kiti cha u speaker
Naomba utoe jina na sababu. Ahsante.