Mojojo
Member
- Jun 7, 2017
- 39
- 39
Binafsi huwa na kereka sana na tabia ya vyombo vya habari hususa vya michezo na wanasiasa ambapo wamekuwa wakiripoti taarifa zao bila kuzingatia pia mahitaji ya watu wanaowafatilia
Utasikia tumenua ndege mbili kwa dola milion 20 au mradi wa daraja la kigamboni umeigharimu serikaili dola.
Lakini ukiachilia mbali wanasisa kuna kundi jingine la wanahabari hasa za michezo utasikia Christiano Ronaldo (mfano) ameuzwa kwa paund milion 3
Mwafanya vyema kuripoti au toa ripoti hizo lakini kwa faida ya wafatiliaji wenu na wananchi kwa ujumla ni vyema mngekuwa pia mnazi converting hizo pesa kwa pesa za nyumbani ili wafatiliaji wenu waweze elewa picha halisi ya mnacho ripoti.
Ikizingatiwa kwamba wengi pengine zaidi ya 80% ya wafuatiliaji wene au watanzania hawajui hata maana ya exchange rate.
Sasa unapomtajia pound,dolla au euro mnawapa kazi ya ziada ya kujaribu pata picha halisi ya thamani ya hicho kitu.