Tanzania yaigomea Rwanda kutumia Sehemu ya Anga la Tanzania

MKomela

Member
Jun 6, 2017
27
16
Tanzania yaigomea Rwanda kutumia Sehemu ya Anga la Tanzania kwa Mara Nyingine.


vlcsnap-2017-06-07-13h51m39s662.png
 
Katu hao jamaa siyo kabisaa ni wananko kinyama.

"Kagame is a fish" hatutakiwa kuwa Karibu naye kiivyo kwenye ulinzi wa nchi yetu.
 
Kuna may anapoteza ajira muda si mrefu....unakataa ombi la ndugu yake na babako. ...ahahahha yangu machoooรฒ
 
Ivi magufuli si alisema atachukua wataalam wa IT kutoka rwanda?? Usijekuta wanabadilishana wataalam na anga!!!
 
Huyo aliyekataa aliwasiliana na Magu kweli? Kama ni NO basi kuna kutenguliwa kwa mtu sio muda mrefu.
 
Back
Top Bottom