Dar: Polisi watumia Mabomu ya Machozi kuwatawanya Walemavu waliofunga barabara

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,619
2,000
Wadau nlikuwa napita posta mida huu huku round about ya azam hali si nzuri watu wamejawa na taharuki wanakimbia na hawajui wakimbilie wapi. imesikika milipuko kama mara tatu hivi ambayo labda wataalam wa milipuko watwambie ni nini sababu ya hali hii ya sintofaham.

kuna ambao wamejificha na wengine wamekumbatia nyoyo zao kwa nguvu kabisa ili zisije watoka kwa woga,hofu na tetemo.

Dk hii tena saa 8:40 umesikika tena mlipuko. na haman mwenye kuelewa nini kinaendelea watu wote wamejawa na taharuki. na ni ngumu kujua pa kukimbilia maana mnaweza ona tu ghafla hampati updates then later on mkaja kusikia na gudume pia alikuwepo. acheni kwanza nijibanze hapa hapa na huyu binti wa kihindi kaning'ang'ania sana hataki kuniachia...aisee.... hii hali iendelee huyu binti anaona umuhimu wangu mkubwa....

Walemavu waendesha bajaji wamelala njiani,maeneo ya Majengo pacha,sijui ni sokoine drive ile

Mkuu ni walemavu wale wanaoendesha pikipiki za magurudumu matatu maarufu kama bajaji waliandamana so jeshi la polisi likaamua kuwatuliza kidogo. Kisa kuna mwenzao mmoja alikamatwa na polisi ila kwa sasa hali ni shwari.

Nilikuwa corner ya azikiwe na pambaroad, mlipuko umesikika juu magorofa yanayopakana na jengo la benk ya posta linalokarabatiwa

=====

Taarifa kutoka Dar Es Salaam maeneo ya Posta,walemavu kadhaa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi DSM kufuatia kufunga barabara wakishinikiza kupinga kukamatwa kuingia mjini na baiskeli zao. Mabomu ya machozi yapigwa.
 

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
12,024
2,000
wadau nlikuwa napita posta mida huu huku round about ya azam hali si nzuri watu wamejawa na taharuki wanakimbia na hawajui wakimbilie wapi. imesikika milipuko kama mara tatu hivi ambayo labda wataalam wa milipuko watwambie ni nini sababu ya hali hii ya sintofaham.

kuna ambao wamejificha na wengine wamekumbatia nyoyo zao kwa nguvu kabisa ili zisije watoka kwa woga,hofu na tetemo.
kama umepata muda wa kuandika mkuu umeshindwa hata kutupigia kapicha huku ukikimbia,au ulipojibanza huwezi kuona kinachondelea ukaamua kutupa hisia zako....
 

Mufti Lion

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
283
500
Nitafurahi nakurukaruka kama hamna majeruhi na vifo na hali irudi kuwa shwari na watu waendelee na shughuli zao kama kawaida.
 

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,619
2,000
mkuu tusamehe. sisi wengine tumejisahau tunaamin wote mnaishi tanzania. kumbe mpo wa kando kando ya nchi. POSTA HUKU DAR ES SALAAM ,BONGO, JIJINI KWENYE MAKINIKIA NA MABOSO.
Mkiweka thread muwe mnataja na mkoa wapendwa!!! Ukisema "Posta" posta ziko nyingi Tanzania, wengine hatujui unaongela sehemu gani ya Jamhuri yetu ya Muungano wa Tanzania!!!!
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,449
2,000
Milipuko tu mara tatu hamjuhi mwende wapi lakini daily mko busy kuwashangilia acacia. Hamuelewi hawa wazungu wenzenu wanao uwezo wa kuwatumia nyie nyie na hiyo milipuko ikawa inasikika hivyo daily, na Ikiwa hivyo sasa sijuhi ndo mtakwenda wapi. Jiulize kama hizo pua zenu mtaendelea kuzitanguliza mbele kweli na kuendelea kwenda makazini kwenu.

Haya mambo madogo yawafundishe na yawafungue akili zenu
 

R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,209
2,000
Mkuu ni walemavu wale wanaoendesha pikipiki za magurudumu matatu maarufu kama bajaji waliandamana so jeshi la polisi likaamua kuwatuliza kidogo. Kisa kuna mwenzao mmoja alikamatwa na polisi ila kwa sasa hali ni shwari.
 

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,926
2,000
mkuu tusamehe. sisi wengine tumejisahau tunaamin wote mnaishi tanzania. kumbe mpo wa kando kando ya nchi. POSTA HUKU DAR ES SALAAM ,BONGO, JIJINI KWENYE MAKINIKIA NA MABOSO.
hahaha, sawa maana hata hapa kwenye kata yetu ya KOLOMIJE pia tuna posta yetu, hahahaha
 

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,204
2,000
Mkuu ni walemavu wale wanaoendesha pikipiki za magurudumu matatu maarufu kama bajaji waliandamana so jeshi la polisi likaamua kuwatuliza kidogo. Kisa kuna mwenzao mmoja alikamatwa na polisi ila kwa sasa hali ni shwari.
Hadi walemavu mnawapiga mabomu
 

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,619
2,000
DADA TOKA ulipokuja mwaka juzi ukapewa ujauzito na mwanaume akakukimbia umekuwa na hasira sana na sisi....anyway sisi tulitaka kuonja tu wa bush nanii zenu zinakuaje..maana umekuwa na beef sana na sisi wanaume wa huku unaona kama wote ni matapeli. tupo watulivu dada sema nawe ukija usiwe unazuzuka na pamba na mashamsham yetu.linda lasimilali zako mama.

Wanaume wa Dar,Tairi za gari zimepasuka mnakuja kulialia humu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom