neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,862
- 2,156
Wana JF habari za jion!
Tafadhali wenye uzoefu naomba msaada wa mawazo, nahitaji kununua gari dogo lenye mwonekano mzuri, nataka kuagiza nje, nina bajeti ya m. 6.
Naomba mawazo ya aina ya magari yanayopatikana kwa bei hyo, kwa kutizama hasa upatikanaji wa spare, utumiaji wa mafuta n.k... Kulingana na uzoefu wenu...
Thax peoples.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums