Kwanini tunaogopa sana wazungu?

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
WanaJF,

Katika sakata hili la mchanga, nimegundua hili.

Nimekuwa nasikitika sana kuwa tunapoteza haki zetu na uwezo wa kufikiri kwa tunaposikia neno "MZUNGU".
Nimeona kwa wabunge wengine wanaonyesha jinsi wazungu walivyo kama zimwi kwetu na hawawezekani kwa lolote.

Mpaka wengine wakasema tungewaachia waendelee na wizi ili kukweka kibano.

Je wewe unafikiri sisi hatuna haki kwa kila kitu?
 
ni sawa tu kuwaogopa kwani wamefanya makubwa duniani...
ili ujue MZUNGU ni mtu wa aina gani ishi nae au awe rafiki yako hapo utagundua UZURI na mambo mengi kwao kuliko sisi AFRIKANASI
 
WanaJF,

Katika sakata hili la mchanga, nimegundua hili.

Nimekuwa nasikitika sana kuwa tunapoteza haki zetu na uwezo wa kufikiri kwa tunaposikia neno "MZUNGU".
Nimeona kwa wabunge wengine wanaonyesha jinsi wazungu walivyo kama zimwi kwetu na hawawezekani kwa lolote.

Mpaka wengine wakasema tungewaachia waendelee na wizi ili kukweka kibano.

Je wewe unafikiri sisi hatuna haki kwa kila kitu?
Wazungu akili kubwa bila wao tungekuwa bado tunaishi maisha ya ujima wa kale
 
OGOPA SANA MTU ALIEKUTAWALA NA KUWAVISHA JEMBE LA NG'OMBE MABABU ZETU.
 
Ni sawa ni timu ya mpira wa miguu ya kijijini..mfano Vigwaza village football team huko
iseme eti haiigopi Simba FC au Yanga FC...

ni kujidanganya....

Watu waliokuzidi kila kitu ku deal nao bila tahadhari ni ujinga...

Kuna watu hujidanganya wee mwisho utawasikia eti angalau Magufuli
'kawasumbua kidogo'

utasema hayo ndo mafanikio
 
WanaJF,

Katika sakata hili la mchanga, nimegundua hili.

Nimekuwa nasikitika sana kuwa tunapoteza haki zetu na uwezo wa kufikiri kwa tunaposikia neno "MZUNGU".
Nimeona kwa wabunge wengine wanaonyesha jinsi wazungu walivyo kama zimwi kwetu na hawawezekani kwa lolote.

Mpaka wengine wakasema tungewaachia waendelee na wizi ili kukweka kibano.

Je wewe unafikiri sisi hatuna haki kwa kila kitu?
Mkuu Viongozi wetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza (na hasa kambi ya upinzani)
Wanajaribu kucheza na akili za Walalahoi (mimi sio mmoja wao).
Wanajaribu kutuonesha kwamba hakuna tunaloweza kufanya katika nyanja yoyote pasipo kuwategemea hawa Mabwanyenye Majambazi..

Wameuficha ukweli kwamba wao (vyama pinzani) ni matawi na wanafadhiliwa kwa rundo la mapesa na hao Wazungu wasio waaminifu.

Wameshindwa kuwaaambia ukweli umma wa Watanzania kwamba tumewagusa "SEKTA NYETI" matokeo ni kiutisha Serikali wakijua wananchi tutakuwa nao pamoja..

Nani asie jua Mamilioni ya Mapesa wanayo pewa Chadema kutoka Ng'ambo..

Wacha wapige Mayowe...chama Tawala kwa sasa si ombaomba kwa mtindo wa KUIWEKA NCHI REHANI..

Ni bora watanzania tule Nyasi kwa kipindi hiki cha kuweka mambo sawa, kuliko kula Pizza, Baga na Soseji, tukiruhusu na kushuhudia Maliasili zetu zikichukuliwa pasipo manufaa ya Nchi na raia kwa ujumla.

Ni wanasiasa wanao waogopa hao wanaoitwa wawekezaji (wazungu)

Sisi "Wasakatonge" tunawatambua akina Mzee Mengi, Bakharesa kama wawekezaji na waendesha uchumi wa nchi.

Faida na Majambazi wa Uchumi hatujaiona.

[HASHTAG]#Fearless[/HASHTAG] no More..
 
yaani wewe ndio mpuuzi kweli,chadema iko madarakani?mbona mnakua wapumbavu mpaka amjielewi,
 
Ccm ndio wanaogopa wazungu,wakawapa mkataba wakavuna madini bureee!

Halafu wazungu wana information,wana power ya kuzipata information,wana human resource ya kuzichakata,wanajua kuzitumia information na pia wana means ya kuzisambaza information

Sisi kwa mfano huwezi kulinganisha TBC na BBC,TBC haikidhi vigezo hivyo hapo juu!,TBC hawana hata uwezo wa kupata information,hawana resource za kuzisambaza,hawana human capital ya kuzichakata na kadhalika,kwa hiyo sisi kama nchi hatuna information ,hivyo hatuna power

Ukija kwenye madini,wana information zinazokidhi vigezo vyote hapo juu,

Wana information,mtu mwenye taarifa zako lazima umuogope bhana,na zaidi mwenye taarifa sahihi kama Acacia na capable human resource na hahitaji tume ili apate chochote
 
Sisi "Wasakatonge" tunawatambua akina Mzee Mengi, Bakharesa kama wawekezaji na waendesha uchumi wa nchi.

Faida na Majambazi wa Uchumi hatujaiona.

[HASHTAG]#Fearless[/HASHTAG] no More..
Kuna Kweli Mkuu wawekezaji wazalendo hawawezi kwepa kodi kwa kiwango cha kutisha.Na wakifanya hivo mali zao rahisi Serikali kuzidhibiti wanapokiuka.Cha msingi ni kuhakikisha wanalipa kodi na kufuata sheria za nchi.
 
Wazungu sio watu wa kuogopwa hata kidogo,ni watu tu kama watu wengine tofauti yetu ni rangi tu
 
WanaJF,

Katika sakata hili la mchanga, nimegundua hili.

Nimekuwa nasikitika sana kuwa tunapoteza haki zetu na uwezo wa kufikiri kwa tunaposikia neno "MZUNGU".
Nimeona kwa wabunge wengine wanaonyesha jinsi wazungu walivyo kama zimwi kwetu na hawawezekani kwa lolote.

Mpaka wengine wakasema tungewaachia waendelee na wizi ili kukweka kibano.

Je wewe unafikiri sisi hatuna haki kwa kila kitu?
CCM na serikali yake ndiyo wanaowaogopa wazungu. Kubwa la wezi toka Canada limekuja lakini likaishia kupigwa kiyoyozi Ikulu badala ya kukamatwa. Ccm ni janga la taifa
 
Wazungu sio watu wa kuogopwa hata kidogo,ni watu tu kama watu wengine tofauti yetu ni rangi tu
Jipe moyo blaza,.thibitisha alichofanya mswahili ulimwengun hapa kilichowekwa record,kiuchum,technology etc,..kama sio kunengua mauno tuu,..we are 500yrs backward
 
Wazungu wamekopi elimu na ujuzi mwingi toka Afrika,na Afrika kaskazini.Walichofanya ni kuboresha tu yale waliyojifunza Afrika. chuo kikuu cha kwanza duniani kilijengwa Afrika(moroko)

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Stor na historia za kujipaga moyo hzi hatutak kuskia hapa.uongo uongo tuu,hata kama umeandikwa kwenye vtabu,..hatutak historia hapa tunataka vitu physical..kama kwel chanzo cha elim ni africa bas tungetegemea elim iliyoboreka kwanza hapa kwenye locus na sio et ihame iruke stage iende kwingne af irud,..historia za uongo nakwel hatutak skia,..nmekwambia orodhesha vtu vyenye mashiko alivyowai fanya africanus.
 
Kinachotuponza watu weus ni kwamba tumezungukwa tayar na jamii iliyotushinda tayar yaan iliyoendelea zaid yetu,sasa tunakazana kutaka jilinganisha badala ya kukubal matokeo then tuya fix,sis kila kukicha tunajilinganisha na watu waliotuacha miaka 500 nyuma..ndomana africa haibadiliki,basic needs zetu bado ni food cloth n shelter ila sisi tunajifanya kuruka stage,technolojia ndo inatuharib sis tunashindwa kusolve matatzo yetu
 
Stor na historia za kujipaga moyo hzi hatutak kuskia hapa.uongo uongo tuu,hata kama umeandikwa kwenye vtabu,..hatutak historia hapa tunataka vitu physical..kama kwel chanzo cha elim ni africa bas tungetegemea elim iliyoboreka kwanza hapa kwenye locus na sio et ihame iruke stage iende kwingne af irud,..historia za uongo nakwel hatutak skia,..nmekwambia orodhesha vtu vyenye mashiko alivyowai fanya africanus.
Kitu gani unataka nikwambie,kilimo cha kisasa cha umwagiliaji kilifanyika misri miaka zaidi ya 2000 iliyopita,chuo kikuu cha zamani sana kilijengwa pale misri(al azhar university), elimu ya physics na hesabu kwa mara ya kwanza ilibuniwa misri na kina farao ambao walikuwa babu zetu wa afrika.
Walichofanya wazungu ni kuboresha tu.Magari ya kwanza Duniani yalitengenezwa misri(Afrika)

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Kitu gani unataka nikwambie,kilimo cha kisasa cha umwagiliaji kilifanyika misri miaka zaidi ya 2000 iliyopita,chuo kikuu cha zamani sana kilijengwa pale misri(al azhar university), elimu ya physics na hesabu kwa mara ya kwanza ilibuniwa misri na kina farao ambao walikuwa babu zetu wa afrika.
Walichofanya wazungu ni kuboresha tu.Magari ya kwanza Duniani yalitengenezwa misri(Afrika)

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Hiv mtu unaboreshaje kitu ambacho hauko ahead nacho,kama waliboresha maana yake wao walikua bora kabla ya waliowaboreshea..ama nasema uongo,..mfano,mi nina shamba eka1 natoa gunia mbili,anakuja mtu ananiboresha na kunipa ujuz napata gunia 30,nan yuko zaid ya mwenzie hapo,..anaeboresha au anaeboreshewa
 
Back
Top Bottom