jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,021
Toka ijumaa jioni niko hapa,nina mgonjwa wa ajali,
Jambo la kustaajabisha hospital in hapa:
1😀awa (japo dawa baridi tu)kama panadol,paracetamol n.k hakuna hata kwa kununua kwenye Duka la hospital.
2:Maji kwenye mabomba,chooni nk hakuna.Kwa kifupi hospital haina maji.
3:Uchafu uliokithiri wodini.Hakuna wafanya usafi,mashuka hayabadilishwi kwa wakati n.k
Nilitegemea ningepata huduma bora hasa ukizingatia hospitali hii imekua ikihudumia wakazi wengi na hasa wasafiri wanaopata matatizo kama ajali za barabarani.
Kama kweli Mh Kigwangwala na naibu wako Mh Ummy Mwalimu,kama kweli mnania ya dhati kweli ya kuleta mabadiliko kwenye sekta ya afya ni vyema mngeanzia kwenye hospital hii ya Tumbi,maana inaumuhimu mkubwa kama nilivyo ainisha hapo awali.
Wa salaam.