Hivi hawa watu vipi?...Wao ndo walisaini mikataba alafu wao ndo wanaikandamiza.Sasa wakitaka tukubaliane nao....basi waombe fidia yetu au wa wajibishe waliotoa ruksa hii mikataba isainiwe...sio...
Ile oparesheni ya kutokomeza uwepo wa makahaba na madanguro iliyoanza kwa kasi sijui imeishia wapi, sasa imekuwa tabia ya washika doria kupita maeneo yote yenye hii biashara
a usiku na kukusanya...
Mimi ni mteja wa benki ya CRDB,Leo nimeenda kuweka hela sh 46,000 wananiambia hawapokei silver labda mpk zifike sh laki 1 au 2 ikabidi nibebe mzigo wngu wa silver nirudi nao nyumbani.Nnachojiuliza...
Habari za saa hizi wanajamvi!
Mwishoni mwa mwaka jana (2016) tulisainiana mkataba na bodaboda ambapo nilimkabidhi pikipiki ili arejeshe kiwango cha hela kwa kila wiki. Hazikupita wiki tano jamaa...
Nimekuwa nikisikia mtu anasema fulani ni kiongozi wa wanyonge. Hivi kweli kwa miaka 55 ya Uhuru mtu unaweza kujivunia uwepo wa wanyonge ndani ya nchi yako?
Wanyonge ni kina nani? Kwanini wawepo...
Katika uchunguzi wangu nimekuka kubaini kuwa wasomi wengi wa tanzania ni wazembe
nimegundua hilo kwa njia hii nyepesi
"mwbie msomi hivi
kwakuwa hauna kazi njoo tujumuike kwenye mladi huu ambao...
Kwa siku za karibuni kipindi hiki kimeanza kupoteza mwelekeo na kufanya wafuatiliaji wa kipindi hiki kuacha kabisa kukifuatilia. Mfano hai ni leo tarehe 17 Juni,2017 waongozaji wa kipindi hiki...
Habari za muda huu waungwana, karibuni tujifunze kitu..
“Nina mke asiyeniamini kabisa,” aliniambia bwana mmoja hivi majuzi. “Hana imani kabisa na mimi. Juzi kati hapa nimemkuta anachunguza simu...
Jeshi la Polisi mkoa wa Kusini Pemba limekanusha kuhusu tukio la kifo cha mwanafuzni wa skuli ya Laurent International kuwa halihusiani na kupigwa na mwalimu.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa...
Wadau wa mitandao, hasa wale mnaotumia mtandao wa halotel mna maoni gani kuhusu ubora wa huduma za internet za hii kampuni, maana maeneo mengine imekuwa ni kero kwa kweli, je wadau wateja mlioko...
*MASIKINI HIVI PUNDE TU TULIKUWA NAE.*
.
[emoji733]...Alikuwa ni mtu mwema na mwenye bashasha na kila mtu..
Nani ambae alikuwa hamjui kwa ukarimu wake..alikuwa ni mtu nadhifu na kipenzi cha watu...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini imeteketeza eka nane za mashamba ya mirungi wilayani Same mkoani Kilimanjaro katika operesheni endelevu inayofanyika wilayani humo ya...
Kati ya mapendekezo ya taarifa ya pili ya makinikia ni kujengwa kwa kiwanda cha kuchenjua makinikia ndani ya nchi. Na inasemekana Barrick/ Acacia wamekubali kufanya hivyo. Ila viwango vya kwenye...
Heshima kwenu wakuu.
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, naomba kujua vile vyakula vinavyobaki baada ya mauzo ya siku kule kwenye mahoteli, migahawa na mama lishe huwa vinaenda wapi?
Msaada kwa...
Asalaam Aleikhum wana JF wote, tumshukuru M/Mungu kwa kutujaalia siku nyingine tena yenye Kheri na Barka tele,tuwaombee waliofikwa na matatizo mbali mbali kama Maradhi na misiba M/Mungu apate...
Leo Thursday at around 1200 hrs katika check in counter ya Fast jet uwanja wa Dar niliambiwa nitoe perfume yangu kwani haziruhusiwi ndani ya ndege.
Baada ya kuwaelezea jinsi regulations za...
Mimi Naantombe Mushi nikiwa na akili timami kabisa leo tar.16.06.2017 bila shinikizo la aina yoyote, natoa nadhiri kwamba endapo Acacia watalipa hizo Trillioni 108 ntafanya yafuatayo.
...
Habari zenu wapendwa,Nawaomba mwenye kuwa na kaswida ya madrassa salaama til islamiyyati inayoitwa Rushwa tafadhali naomba anirushie kwenye email yangu rjuma224@gmail.com,Nitashukuru sana kwa mtu...
Ktk halCHA KUSHANGAZA Kwa miaka mingi sasa almost MUONGO MMOJA yaani a DECADE kijiji cha Isanga huko ktk wilaya ya Meatu kunajipu sugu hajaisikia kiki na sindanano ya KUTUMBULIA.
√Maji ya Kisima...