steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,171
- 1,580
Katika uchunguzi wangu nimekuka kubaini kuwa wasomi wengi wa tanzania ni wazembe
nimegundua hilo kwa njia hii nyepesi
"mwbie msomi hivi
kwakuwa hauna kazi njoo tujumuike kwenye mladi huu ambao utatupatia pesa baadae msomi haji ata mmoja"
"Ila mwambie njoo nikupe kazi mwisho wa mwezi mshahara laki nne Hapo watakuja weeengi na attachment "
nimekuja kuelewa wasomi wa bongo wana penda AJIRA kuliko KAZI
sasa ww ulie soma na hauna kazi endelea kusubili walivyo anzisha wenzako