CRDB mnashangaza hela halali ya TZ mnaikataa

chazi piere

Senior Member
Jun 12, 2016
121
65
Mimi ni mteja wa benki ya CRDB,Leo nimeenda kuweka hela sh 46,000 wananiambia hawapokei silver labda mpk zifike sh laki 1 au 2 ikabidi nibebe mzigo wngu wa silver nirudi nao nyumbani.Nnachojiuliza je ss walalahoi tunafanya biashara ya kuokoteleza sh mia Mia tukaweke wapi pesa zetu?nawasilisha
 
Huo ni Utaratibu wa kawaida hata Nyumbani kwako pia una utaratibu, na Bank ziko nyingi sana kwa Tanzania.
 
kwaiyo afunge biashara yake akafanye iyo mpya? basi wew wa nje ya box nunua izo change ukauze
Punguani wahedi, kama alifunga hiyo biashara akaenda Benki,alishindwa nini kufunga na kwenda kituoni ambapo angekuta wachuuzi wa chenji;wangefanya maelewano na akawauzia ili apate noti za kuweka Benki na kutengeneza faida kidogo! Ni kitu inachukua less than an hour.
 
Ni kweli mkuu hata mimi ilishawahi kunikuta hiyo ishu..nilienda NMB...huo ni utaratibu wamepewa nadhani na BOT
 
Mkuu hizo hela dili sana peleka nyarugusu kule Geita zinatumika kwenye ushirikina wa madini mtafute jamaa anaitwa King Musukuma kwa sasa yuko dodoma
 
Ungeenda kwenye vituo vya daladala ukauza hizo chenji ulizo nazo ungeweza kurudi nyumbani/Benki na Tsh 60,000/-. Tujifunze kufikiria nje ya Box wandugu na kuacha kulia lia. Hizo silver ni fursa.
Yeah!ushauri mzuri next time ntafanya hv
 
Punguani wahedi, kama alifunga hiyo biashara akaenda Benki,alishindwa nini kufunga na kwenda kituoni ambapo angekuta wachuuzi wa chenji;wangefanya maelewano na akawauzia ili apate noti za kuweka Benki na kutengeneza faida kidogo! Ni kitu inachukua less than an hour.
kiutaratibu Ela za coin hazitakiwi pelekwa bank koz zinabidi zizunguke kwe uchumi neo maana hata mia 5 ya noti ilitolewa koz ilikua INA matumizi sana next time fuata Ushauri kauze kwa makondakta Kila buku una sh 100 faida

Ni kweli mkuu hata mimi ilishawahi kunikuta hiyo ishu..nilienda NMB...huo ni utaratibu wamepewa nadhani na BOT
 
Mimi ni mteja wa benki ya CRDB,Leo nimeenda kuweka hela sh 46,000 wananiambia hawapokei silver labda mpk zifike sh laki 1 au 2 ikabidi nibebe mzigo wngu wa silver nirudi nao nyumbani.Nnachojiuliza je ss walalahoi tunafanya biashara ya kuokoteleza sh mia Mia tukaweke wapi pesa zetu?nawasilisha
Silver 46,000 ni fursa ya biashara, watu wa daladala wananunua silver mnabadilishina sh 900 kwa noti ya sh 1000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom