Naomba ufafanuzi juu ya likizo ya mwaka v/s likizo ya ugonjwa

LadyAJ

JF-Expert Member
Oct 21, 2015
7,147
2,000
Asalaam Aleikhum wana JF wote, tumshukuru M/Mungu kwa kutujaalia siku nyingine tena yenye Kheri na Barka tele,tuwaombee waliofikwa na matatizo mbali mbali kama Maradhi na misiba M/Mungu apate kuwatia faraja.
Kuna jambo kwa hakika usiku wa Jana limenitatiza kiasi hivyo nikaona si mbaya kulileta na kuomba ufafanuzi, miezi 3/4 iliyopita mwenza wangu alipatwa na ajali akiwa katika shughuli za kikazi,ajali ambayo ilimlaza kitandani karibu miezi mi 3 lakini sasa amerejea kazini na kawaida yake kila kati kati ya mwezi wa sita yeye huchukua likizo kazini lakini safari hii ameniambia kwamba kazini hawawezi kumpa likizo kwani ametumia miezi mi 3 nyumbani kwa ugonjwa hivyo watakachofanya ni kumlipa fedha zake za likizo huku akiendelea kufanya kazi kama kawaida, hakika jambo hili limenishangaza sana na nikaona si vibaya kuuliza maana nilishajipanga kwa Vacation ya wiki 2 (kuomba ruhusa yangu ya mwaka ya siku 14).
 

kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
3,983
2,000
Asalaam Aleikhum wana JF wote, tumshukuru M/Mungu kwa kutujaalia siku nyingine tena yenye Kheri na Barka tele,tuwaombee waliofikwa na matatizo mbali mbali kama Maradhi na misiba M/Mungu apate kuwatia faraja.
Kuna jambo kwa hakika usiku wa Jana limenitatiza kiasi hivyo nikaona si mbaya kulileta na kuomba ufafanuzi, miezi 3/4 iliyopita mwenzi wangu alipatwa na ajali akiwa katika shughuli za kikazi,ajali ambayo ilimlaza kitandani karibu miezi mi 3 lakini sasa amerejea kazini na kawaida yake kila kati kati ya mwezi wa sita yeye huchukua likizo kazini lakini safari hii ameniambia kwamba kazini hawawezi kumpa likizo kwani ametumia miezi mi 3 nyumbani kwa ugonjwa hivyo watakachofanya ni kumlipa fedha zake za likizo huku akiendelea kufanya kazi kama kawaida, hakika jambo hili limenishangaza sana na nikaona si vibaya kuuliza maana nilishajipanga kwa Vacation ya wiki 2 (kuomba ruhusa yangu ya mwaka ya siku 14).
Mi sijui mambo haya sikusomea,wanasheria na wafanya kazi wa labour mnaitwa huku njooni!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom