JIPU LA ISANGA MEATU MH. HAJALIONA??

1taifa

Member
May 31, 2013
75
95
Ktk halCHA KUSHANGAZA Kwa miaka mingi sasa almost MUONGO MMOJA yaani a DECADE kijiji cha Isanga huko ktk wilaya ya Meatu kunajipu sugu hajaisikia kiki na sindanano ya KUTUMBULIA.

√Maji ya Kisima kirefu WINDMILL imekufa bila juhudi za kufufua

√Miundo mbinu ya shule

√Hakuna Barbara za kuunganisha ktkt kijiji hicho

√Zahanati haijakamilika


VEO, WEO, DIWANI WAMESHINDWA???.

Naomba kutoa hoja.
 

Principal Focus

JF-Expert Member
Jan 4, 2013
924
1,000
Mkurugenz ako bize kuuza matikiti ndio kayavuna.. Mkuu wa mkoa juz tu hapo katoka kuangalia ng'ombe... Watu wako bize acha tu apombeke maana bize na kikao cha mwenge
 

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,443
2,000
Ktk hali isiyo ya kawaida kwa kijiji kilichibarikiwa kuwa na vyanzo vizuri vya mapato, maji, malisho na rutuba nzuri ya kustawisha mazao.

CHA KUSHANGAZA Kwa miaka mingi sasa almost MUONGO MMOJA yaani a DECADE kijiji cha Isanga huko ktk wilaya ya Meatu Simiyu kunajipu sugu hajaisikia kiki na sindano ya Mh mkuu wa serikali ya 5.

VEO amekuwa ndo mlarushwa mkuu ktk kijiji kwa kujali kutoza faini kwa watu wanaotenda makosa BILA hata kuwapa risiti ya serikali.

VEO ameshindwa kusimamia ujenzi wa Zahanati ya kijiji zaidi ya miaka 6 sasa bila hata kuwajibishwa na Mkurugenzi wake ambae ndiyemwajiri.

VEO ameshindwa kusimamia jengo la Two in One la walimu, huku shule ikiendelea kushindwa kufanya vizuri ktk mitihani.

VEO HUYU MR NKWABI SHIJA ameendekeza ngono na pombe tu na kuwa msimamizi anayejali tumbo lake bila kutoa huduma kwa wananchi wake.

DIWANI NAE MR GUHANDA ni Jipu pia kwa sababu ameshindwa kabisa kukiingiza kijiji cha Isanga kwenye mpango wa programme ya KUUNGANISHA VIJIJI VYOTE KWA BARABARA, wakati vijiji gingine mf NATA, MWANG'HUMBI, IMALASEKO, JILOLELI vilishaunganishwa na kijiji hiki masikini kikaachwa kama kisiwa bila mtetezi.

Mh President au PM njoo na huku utusaidie wananchi wasio na msemaji uwasikilize.

VEO huyu ameshindwa kufanya utaratibu wa kufufua kisima MRADE WA KISIMA KIREFU CHA KUTMIA UPEPO WINDMILL KILICHI GHARIMU ZAIDI A 50 MIL kupitia TASAF AWAMU YA 1 kwa fedha za ktanzania. Tangu mtambo huu uangushwe na upepo hakuna wa kufufua SI DIWANI, MWKITI WA KJIJI AU DIWANI, Kata hii imelogwa na nani. Mhandisi naye sijui huwa anatoa ripoti gani ktk FullCouncil yake kuhusu mradi huu.

VEO anashirikiana na baadhi ya wajumbe wa kamati za ya shule na kijiji kuhujumu vyanzo vya mapato ya kijiji na kuyaweka kwenye bajeti ya kupeana posho bila hata kuziweka kwenye program za maenbdeleo ikiwemo kuboresha miundo mbinu ya kijamii kama kisima na shule.

VEO ni incompetent na hajajua majukumu yake kisawasawa.

DED MEATU NENDA UKAWASIKIKIZE WATU WAKO HAO WANA KERO LUKUKI HAZINA WA KUZITATUA.

JE WANAFORUM, UNGEKUWA NI WEWE KIONGOZI KWA HAYA UTAPONAJE KUTOTUMBULIWA?

Naomba kutoa hoja.
isanga hivi ndio isangamwalugesha au?
acha umbea boss
 

Bishop Hiluka

Verified Member
Aug 12, 2011
6,489
2,000
Baada ya kuona KOLOMIJE ime-HIT na ninyi mnatafuta njia ya kurusha vijiji vyenu JF...
 

1taifa

Member
May 31, 2013
75
95
Baada ya kuona KOLOMIJE ime-HIT na ninyi mnatafuta njia ya kurusha vijiji vyenu JF...
Kimsingi hoja niliyoitoa pale haina maana na kupaisha kijiji kile kifahamike. Hapana.
Hiyo ni kuuonyesha umma tu kuwa baadhi ya sehemu kama hizo hazina uongozi mathubuti wa kiserikali na kisiasa.

Nilipokitembelea kijiji hicho mapema mwaka huu nilishangaa sana HATA WATU WAKE WAMEKATA TAMAA KABISA.

So, tunapopaisha hoja wanJF haina maana kunominate vjiji isipokuwa ni JF ni platform ya kijamii kutaarifiana mambo mbalimbali.

Tushauriane tu kistaarabu.
 

1taifa

Member
May 31, 2013
75
95
Mkurugenz ako bize kuuza matikiti ndio kayavuna.. Mkuu wa mkoa juz tu hapo katoka kuangalia ng'ombe... Watu wako bize acha tu apombeke maana bize na kikao cha mwenge
Akumbuke kuwa maDARAKA take ni mhimu ktk kutoa huduma kwa wananchi.

Hivyo ni lazima ifike mahala serikali zetu za chini zijitambue kusimamia rasilimali zake.
 

Principal Focus

JF-Expert Member
Jan 4, 2013
924
1,000
Akumbuke kuwa maDARAKA take ni mhimu ktk kutoa huduma kwa wananchi.

Hivyo ni lazima ifike mahala serikali zetu za chini zijitambue kusimamia rasilimali zake.

Huyu mkurugenz co wa nchi hii ataanzaje kufatilia wakat ako bize kukusanya kodi!? Au hujui matikit yake yanauzwa buku buku mkuu! NB: Meatu kuna ulev pindukia na ngono kama huamini nenda mwanhuzi ukaone!!
 

Nemesis

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
5,017
2,000
Mengine yanatoka baada ya kugombana kwa jambo Fulani. Ukitaka kumsemea vibaya MTU huwezi ukakosa cha kusema.

Afisa Mtendaji wa Kijiji hawezi kuwa tatizo la kutoka Ikulu ushughulike nae. Kama kweli kuna shida ni mkutano wa Kijiji tu au Afisa Mtendaji wa Kata au DED au DC. Sidhani kama wote hao wameshindwa.
 

1taifa

Member
May 31, 2013
75
95

Huyu mkurugenz co wa nchi hii ataanzaje kufatilia wakat ako bize kukusanya kodi!? Au hujui matikit yake yanauzwa buku buku mkuu! NB: Meatu kuna ulev pindukia na ngono kama huamini nenda mwanhuzi ukaone!!
Mmmmh NI HATARI SASA. SO ISSUE YA KAZI TU IKOJE HUKO KWANI?
 

1taifa

Member
May 31, 2013
75
95
Mengine yanatoka baada ya kugombana kwa jambo Fulani. Ukitaka kumsemea vibaya MTU huwezi ukakosa cha kusema.

Afisa Mtendaji wa Kijiji hawezi kuwa tatizo la kutoka Ikulu ushughulike nae. Kama kweli kuna shida ni mkutano wa Kijiji tu au Afisa Mtendaji wa Kata au DED au DC. Sidhani kama.

Mini cha kufanya, MIMI NILIPITAKO, kwa kweli kunawatu wanamatatizo.
Nafikiria umenielewa.
 

Nemesis

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
5,017
2,000
Kama for over years ago mambo kimya, so inamaanisha KAZI IMEWASHINDA.
Na SI KWELI kwamba ni ugomvi, Mimi huko hata SI kwetu. Nilipita tu kufanya utafiti wangu wa kimasomo nikaona yote hayo.

Vijiji vngne vngi tu vnashida nyingi huko ktk tarafa zote za Meatu Kimali, Nyalanja na Kisesa.
Nafikiria umenielewa.
Sawa, wewe Mgeni umeona hayo, wananchi wa Kijiji hicho na Viongozi wao wote hawajaona. Hope hicho ndiyo Kijiji pekee ulichoona au huu ndiyo Mwanzo na utaendelea kufanya hivi kwa vijiji vingine pia.
 

Statistics

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,549
2,000
umbeya punguza aisee, ongea na mwenyekiti was kijiji, itisheni kikao cha wananzengo wote na mjadili masuala hayo.


wewe mtoa mada huenda huwa unatongoza wanafunzi, mtendaji akitaka kukushughulikia unakimbilia jf ili wapambe wako wampelekee simu ajisome kuwa taarifa zimefika magogoni ndipo achanganikiwe zaidi.


kama anakula rushwa ndipo kosa, lkn mengine siyo majukumu yake na kama yanamhusu atatekeleza kwa awamu.

ova
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom