Kwa siku za karibuni kipindi hiki kimeanza kupoteza mwelekeo na kufanya wafuatiliaji wa kipindi hiki kuacha kabisa kukifuatilia. Mfano hai ni leo tarehe 17 Juni,2017 waongozaji wa kipindi hiki badala ya kusoma Dondoo za magazeti wanaanza kutaniana, kucheka na kuleta mambo ambayo hayaendani kabisa na maudhui ya kipindi husika. Kinachotakiwa hapa ni kusoma vichwa vya habari kwa ufasaha badala ya kucheka na kutaniana. Nawaombeni sana mjijrekebishe.