Waliokata rufaa vyeti feki kubadilisha upepo?

jambo Tanzania

JF-Expert Member
May 29, 2017
377
281
Gazeti la Raia mwema la leo limeandika kuwa watumishi waendelee kusubiri matokeo ya rufani zao.lakini inawezekana kuna kaupepo kamebadlilsha mambo watumishi jiandae kuchekelea.kama haukukata rufaa utajiju.
 
Ni kweli kuna jamaa angu yupo kilimanjaro alikata rufaa,wamempigia simu wamemueleza ameshinda rufaa so wasubiri orodha ya waloshinda rufaa inaandaliwa,pia majina yao yanapelekwa kwa katibu mkuu utumishi warudishwe kwenye mfumo wa ajira.
Waishtaki serikali kwa uzembe na udhalilishaji...
 
Nahisi kuna janjajanja flani, yaonekana watu wa Necta wamekula sana milungula ili kuokoa watu wasisombwe na gharika...
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wenye vyeti feki wachache sana.hili sakata badala ya kutupeleka mbele kama taifa.litaturidisha nyuma
 
Wasubiri inaweza kuwa Giza totoro.
Sasa hivi kwa mambo yanavyoenda hutakiwi kuwa mwepesi wa kuweka matumaini, unaweza kufa kwa mstuko... amini pale tu mambo yatakapotimia otherwise ni blah blah tu. Nakubaliana na wewe, wasubiri huku wakijipanga kudai haki
 
Ni kweli kuna jamaa angu yupo kilimanjaro alikata rufaa,wamempigia simu wamemueleza ameshinda rufaa so wasubiri orodha ya waloshinda rufaa inaandaliwa,pia majina yao yanapelekwa kwa katibu mkuu utumishi warudishwe kwenye mfumo wa ajira.

Na waliosababusha huo usumbufu wanachukuliwa hatua gani
 
Kuna uchochoro Wa rushwa, ukabila, ukanda na kijuana kwenye rufaa hizo, kuna mbinu ya kuingza watu kwenye ajira kijanja!
 
Back
Top Bottom