Wazanzibari kwenye hili la mgao wa Noah mtatusamehe, madini sio sehemu ya muungano.

The Underboss

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,582
2,000
Habari ya wakati huu wakuu.

Naomba niwakumbushe ndugu zetu wazanzibari kua pamoja na kua nyie ni ndugu zetu ila mnatakiwa kutambua kua madini na gesi sio sehemu ya makubaliano ya muungano, hilo liko wazi.

Nawakumbusha ili baadae msije kusema kua mlikua hamjui kua hayo sio sehemu ya makubaliano ya muungano itakapofika wakati wa mgao wa Noah ambazo inasemekana kama Acacia watatulipa pesa tunazowadai basi kila mtanzania atanunuliwa Noah.

Baada ya kugundua gesi huko kwenu na mafuta mlikua wakali kama mbogo baada ya kujua kua watanganyika tunayatolea macho, mlikenua meno kama simba/fisi anaelinda kitoweo chake kwamba sio sehemu ha muungano., sasa hamkujua kua ipo siku na sisi madini yatatulipa kama yanavyoenda kutulipa.

Watanzania tushirikiane katika kudhibiti mipaka yetu maana nimepata kujua kua watu kutoka nchi zinazotuzunguka wameanza kumiminika kwa kasi sana Tanzania wakitafta vitambulisho vya taifa baada ya kusikia kila mtanzania atapewa Noah.

Habari ndio hiyo.
 

MBITIYAZA

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
15,030
2,000
hahahahahahahhah mshaanza jua na mipaka yenu baada ya NEEMA YA MAGUFULI kuwashukia haaha,km namuona ananote pembeni majina ya waanzish threads za kukinaisha kuhusu NOA, hahahaha akijua ni majina yetu halali hahahahahh...wote tutapata noahmheshimiwa mtukuka ,nacheka sna aic
 

ngumbuke

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
382
500
Ntaomba nipewe taslimu .....NOAH na shs 40/- za kodi .....!? Wapi na wapi? Baada ya miaka 5 utagundua ulikopeshwa.......teh teh teh
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom