Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,702
- 3,839
Kwamasikitiko makubwa ninaungana na wasamaria wema wanaopinga vikali kitendo walicho fanyiwa walemavu jana jijini Daresalaam
Polisi waliowapiga hawa nduguzetu wametii agizo la mtu ambae anadhani pengine asippwaona walemavu hao ndio anapata amani.
Mimi sijui ninani aliyetoa hilo agizo lakini je kulikua na sababu gani ya kutumia ngivu isiyo kifani kwa nduguzetu hao?
Huyo aliyetoa maelekezo hayo inawezekana hajatembea vizuri kwenye viunga vya jiji hilo
Naomba namimi nimuambie kero za kuondoa kwa kutumia mitutu maana inawezekana walengwa wakagoma
.Wapiga debe waliotapakaa ndani ya jiji
.Mateja waliojaa maeneo kedekede jijini Dares salaam
.Wezi wanaokaa eneo la Riverside ukiambaa na ukuta was TANESCO ambapo walikua wanatandika ngazi wakiita kivuko na hata upite pembeni utawapatu hela maana wananuka bangi
Nimalizie kwa kusema enyi mliopewa dhamana jisikieni kuishi vizuri hata na wale wasiokua sawa na nyie kwani bila wao hata ninyi msingepewa hivyeo.Pia jifunzeni kuyachukulia matatizo ya watu kama ni yenu,ya watoto wenu,ndugu zenu,jamaa zenu na wengine walio karibu yenu.Mtakapo fikia hatua hiyo mtatawaliwa na tabia ya utu wema,upendo usiokifani na watoa haki ma sio watoa hukumu
Mwisho niwaombe viongozi wa dini wakemee maovu/uonevu kama wajana
Nimetimiza wajibu kwa kuwasemea wengine